TzDG Home News All Topics Add A Link Forum FAQ
 
Products and Services
Tanzania Business Portal
Civil Society Database
Tanzania Project Database
Tanzania E-Women Net
News Clearing House
Tanzania IK Database
Tanzania gateway key topics
Agriculture and Livestock
Business & Finance
Education
Economic Development
E-Government
Environment
Gender Development
Government
Health
ICT For Development
Investment
Mining & Energy
Online Libraries
Science and Technology
SMEs
Tourism
Trade and Industry
tanzania facts


click to Add content to TzDGHome | Tanzania Development Gateway - Topics Contents

Page 6 of 255
76. Serikali Yashauriwa Kushirikiana na Sekta Binafsi Kuendeleza Kilimo
  Thursday, September 15, 2016  by Admin
77. Serikali kuboresha miundombinu ya bandari
  Tuesday, September 13, 2016  by Admin
 

Serikali imejipanga kuhakikisha inafanya maboresho katika bandari zake zote kwa kujenga miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha wanaimarisha shughuli za usafirishaji ili kufikia ndoto ya uchumi wa kati.

Ahadi hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Joseph Nyamuhanga, wakati wa ufunguzi wa kivuko cha MV Pangani pamoja na gati, uliofanyika wilayani Pangani juzi.

 
78. Kikwete Calls for More Investment in Farming
  Tuesday, September 13, 2016  by Admin
  African governments need to come up with policies that will unlock private investments in agriculture to boost transformation in the sector and become key driver of growth and development, former President Jakaya Kikwete has said.
 
79. Tanga Port Tops Revenues Contributions to City Council.
  Tuesday, September 13, 2016  by Admin
  Tanga Port is currently the major contributor to the development of Tanga city, paying 175.8m/- annually to the City Council.
 
80. Danish Backed Energy Efficiency Programme Helps Factory save 3.12m
  Tuesday, September 13, 2016  by Admin
81. Serikali Lawamani Kukataa Kiwanda.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob (Chadema), ameituhumu Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, kwamba imezuia mradi wa kutengeneza mbolea kwa kutumia takataka, uliopangwa kutekelezwa na Manispaa ya Hamburg ya Ujerumani.

Jacob ambaye pia ni Diwani wa Ubungo, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa mradi huo ulikuwa umefadhiliwa na Manispaa ya Hamburg kwa gharama ya Sh bilioni 3.5. Ulitarajiwa kukamilika Juni mwakani.

 
82. Galawa Ataka Halmashauri Songwe Zibuni Biashara Mpya.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa, ameziagiza halmashauri za wilaya mkoani humo kubuni biashara ambayo itakuwa na tija kwa kuongeza mapato bila kutegemea ushuru wa mazao.

Akizungumza jana Mjini Vwawa, Galawa alisema halmashauri zikiwa na miradi ya biashara zitakusanya fedha za kutosha na kuachana na ukusanyaji wa ushuru wa mazao ambao wananchi wamekuwa wakiulalamikia.

Alisema ubunifu wa biashara hizo utafungua fursa kwa vijana wasio na ajira na kuajiriwa kupitia miradi hiyo, kufunguliwa kwa viwanda ambavyo vikisimamiwa na kufanyakazi kwa uhakika vitakuwa ni chanzo cha mapato.

 
83. Hofu Fao Ia kujitoa.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

Hatua ya Serikali kuwa katika maandalizi ya kuliondoa fao la kujitoa imezua taharuki miongoni mwa wafanyakazi ambao wengi wao ni wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii.

Hali hiyo imekuja baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kuandaa muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ambao kwa sasa upo katika hatua za mwisho, huku ikielezwa kuondolewa kwa fao la kujitoa na badala yake kuletwa fao la kutokuwa na ajira.

 
84. Majaliwa Ataka Tathmini ya Uchumi Nchini.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

Majaliwa amesema hayo akijibu swali la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo.

Mbowe amesema kumekuwa na mdororo mkubwa wa uchumi na kupungua kwa mizigo katika Bandari za Dar es Salaam, Tanga na maeneo ya mipaka ya nchi kama Namanga, Silali, Horohoro na Tunduma, akisema imepungua kwa zaidi ya asilimia 60.

 
85. Primary school leavers who have never stepped into a classroom.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
  Hamisi Ibrahim and his colleagues have just finished their Standard 7 national examinations without sitting in a classroom. The 13-year-old is a pupil at Litigi Primary School in Nyangao ward, Lindi Region.
 
86. Inflation Decreases Below 5 Percent.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

The annual headline inflation for August has declined compared to the previous month on account of lower food and fuel prices.

The National Bureau of Statistics (NBS) Director of Population, Census and Social Statistics, Mr Ephraim Kwesigabo, said in Dar es Salaam yesterday that inflation fell to 4.9 percent year-on-year last month from 5.1 percent in July.

He said the month-on-month headline inflation rate went down 0.2 per cent in August from an increase of 0.03 per cent a month ago. The overall index went up to 103.28 in August from 98.49 recorded in August 2015.

 
87. PM Orders Agriculture Ministry to Assess Sugar Consumption.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

Agriculture, Livestock and Fisheries Ministry was yesterday directed to assess the actual amount of sugar consumed in the country.

Prime Minister Kassim Majaliwa said the available figures does not reflect the actual demand and subjects the nation to endless shortage of sweeteners. He wondered how can Kenya with nearly equal population with Tanzania consume about 800,000 tones against 450,000 tones in the country.

“We want the ministry to conduct a thorough assessment amid a nationwide campaign to improve production of the sugar crop,” Mr Majaliwa said when responding to a direct question from Jaku Hashim Ayoub (CCM).

 
88. MUHAS, NIMR Patner for Intergrated Malaria Researches.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

NATIONAL Institute of Medical Research (NIMR) and Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) have partnered to undertake integrated rural and urban malaria control studies in the country. The new partnership comes amid studies showing steady fall of malaria in sub-Saharan Africa.

Deputy Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children Dr Hamis Kigwangala told the National Assembly here yesterday that the two institutions will resume the scientific work at the oldest established malaria monitoring station at Gonja in Same East-Kilimanjaro region.

 
89. Long Awaited Information Bill Sails Through.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

NATIONAL Assembly yesterday passed the long-awaited access to information bill, 2016, with the government describing it as a fresh law to improve accountability and transparency in the country.

The bill which had been during debates criticised by opposition MPs, is grounded on helping citizens to access information from public institutions and neither had intention to gang press freedom.

 
90. EAC Heads Put Off EPA Signing for Three Months.
  Friday, September 09, 2016  by Admin
 

HEADS of State of the East African Community (EAC) have delayed the signing of the Economic Partnership Agreement (EPA) with the European Union (EU) for three months pending further consultations over the pact.

The leaders of the block have directed the EAC Secretariat to communicate to EU over the decision that was reached at the 17th Extraordinary Summit held in Dar es Salaam yesterday.

Europe has been pushing for the signing of the free trade pact by the EAC member states on October 1, 2016. Tanzania exclusively maintained on Wednesday that it would not append its signature on the agreement until the country’s demands that focus on the best interests of the people were met.

 

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

First Page | Previous Page | Next Page | Last Page

 

 

Tanzania Online Portal
Development Gateways
Parliamentary Online Information Systems
Tanzania National Website
 
Privacy Policy | Editorial Policy | About Us | Photo Gallery | Contact Us | Feedback
2002 - 2006 ©Tanzania Development Gateway, ALL Rights Reserved