FACTS ABOUT AVIAN INFLUENZA

Homa ya mafua makali inaweza kumpata binadamu na ina uwezo wa kukufanya ukawa mgonjwa sana au hata kukuua. Njia rahisi ya kujukinga usipate homa hiyo ni kujiepusha na kushikashika kuku/ bata au ndege au kinyesi chao, kunawa mikono kwa kutumia jivu au sabuni na maji mara tu kabla au baada ya kushika kuku/ bata au ndege, na kwa kupika kuku/bata/ndege na mayai vizuri kabla ya kula.

Ukweli Kuhusu Mafua ya Ndege - Vipi Tunaweza kujikinga na homa ya mafua ya ndege

Njia Kuu za Kuzuia Mafua ya Ndege

Avian Influenza can spread to human, and has the potential to make you very sick or even kill you. The easiest way to avoid getting avian influenza is to avoid touching poultry or their droppings, washing hands with ash or soap water immediately before and after contacting poultry, and cooking poultry and eggs thoroughly before eating.

Facts About Avian Influenza - What we can do to protect ourselves from Bird Flu

What we can do to protect our flocks from bird flu & What we can do to protect ourselves from bird flu

 

Source: USAID, UNICEF, WHO