Kiswahili

MKUTANO KUTAFUTA MAONI YA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI

Wizara ya ushirikiano wa Afrika Mashariki inazitangazia AZISE za Dar es salaam
Kuwa kutakuwa na mkutano wa kukusanya maoni juu ya uharakishaji wa shirikisho la Afrika Mashariki
Tarehe: 15 Februari 2007
Ukumbi: Anatoglo – Ilala
Muda: Kuanzia saa Nne asubuhi


English

MEETING ON SEEKING FOR VIEWS ON SPEEDING UP THE EAST AFRICAN FEDERATION

The Ministry of East African Cooperation invites CSOs in Dar Es Salaam to a one day meeting to solicit views on the process of speeding up the East African Federation.
Date: 15th February 2007
Venue: Anatoglo Hall – Ilala
Time: From 10AM
You are welcome