TzDG Home News All Topics Add A Link Forum FAQ
 
Products and Services
Tanzania Business Portal
Civil Society Database
Tanzania Project Database
Tanzania E-Women Net
News Clearing House
Tanzania IK Database
Tanzania gateway key topics
Agriculture and Livestock
Business & Finance
Education
Economic Development
E-Government
Environment
Gender Development
Government
Health
ICT For Development
Investment
Mining & Energy
Online Libraries
Science and Technology
SMEs
Tourism
Trade and Industry
tanzania facts


click to Add content to TzDGHome | Tanzania Development Gateway - Indigenious Knowledge: Agriculture and Livestock
Page 1 of 4
Role of IK in range management and forage plants for improving livestock productivity and food security
Contributed on:9/25/2006 6:43:27 AM By: FAO - LinKS Project
More Information

Meeting the different needs of livestock farmers in Tanzania
Traditional livestock production systems are economically vital in many countries in Africa, but are often poorly understood. In Tanzania, men and women play different roles in the management and ownership of cattle, goats, chicken and other animals. Control of resources, decision-making and labour responsibilities all vary according to gender. Research from Sokoine University, Tanzania, shows that an understanding of gender in livestock production systems is important if policy initiatives are to work effectively.
Contributed on:8/9/2005 4:47:51 AM By: id21- Communicating Development Research

Mrumbapori - Dawa ya homa kali kwa mbuzi
Mrumbapori unaota sehemu nyingi hapa nchini. Ni mti mkubwa wenye gamba la kijivu. Una mizizi mingi inayoota kuanzia kwenye shina juu ya ardhi na kuingia ardhini
Contributed on:10/18/2004 1:12:11 PM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Dawa ya kuondoa udhaifu katika mifugo
Mmea unaotumika unaitwa; Mhalaka(Kigogo),Olbukoi(Kiarusha),Soghi(Kiraqw),mbuku(Kirangi),Buko(Kimbungwe),Terminalia mollis(Kisayansi)
Contributed on:10/18/2004 4:21:18 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Dawa ya kuvimbiwa (kujaa tumbo) kutokana na malisho machanga
Dawa ni Mlale yaani masizi au utandu wa moshi wa jikoni
Contributed on:10/18/2004 3:54:34 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Kutibu vidonda vya wanyama
Mmea unaotumika;
Mjafiri (Kiswahili,Mhunungu(Kigogo/kikaguru),Popwe(Kifipa),Entarehe yeirungu(Kihaya),Knobwood(Kiingereza),Mulungu(Kirangi),Mnungu(Kizaramo),Zanthoxylum Chalybeum (Kisayansi)
Contributed on:10/18/2004 3:30:49 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Kuondoa kuvimbiwa baada ya kula nafaka/mahindi mengi makavu
Mmea unaotumika kuondoa tatizo hilo;
Shubiri mwitu(Kiswahili),Tembwe(Kigogo),Mkankiruri(Kinyaturu),Huza(Kisambaa),Ibhata(Kinyiha),Ikoli(Kikaguru),Aloe(Kiingereza),Aloe barteri(Kisayansi)
Contributed on:10/18/2004 3:17:58 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Kutibu mbuzi anayeharisha
Mmea unaotumika; Muumbu(Kigogo),Msakawa(Kirangi,Musugha(Kinyaaturu),Mumbu(Kizigua),Tambaragi(Iraqw),Eravande(Kiarusha),Mtundu(Kiswahili),Lannea stuhlmannii(Kisayansi),Mumendo(Kikuria),Muhingilo
(Kiluguru),Mnyumbi(Kinyamwezi),Msighe(Kipare),Msayu(Kisukuma),Mpwipwi(Kizaramo),Mponakuulugu(Kaguru)
Sehemu inayotumika ni magamba
Contributed on:10/18/2004 2:55:03 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Kukohoa,kusinzia,kuhema kwa shida katika kuku
Dawa ya 1,Mwegea (Swahili),Mungungu (Nyaturu),Mlegea(Bondei),Msanghwa (Nyamwezi,Msuva (Rangi), Mfumbi (Hehe)

Dawa ya 2,Liyugi (Hehe)
Contributed on:10/18/2004 2:18:04 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Mdondo (Swahili), Mdonde (Gogo)
Dalili:
- Kuku hawachangamki, hutulia mahali pamoja.
- Kulcu ujikusanya pamoja.
- Kuku hushusha mbawa.
- Kuku huarisha damu.

Dawa ya 1; Tumbaku
Dawa ya 2; Majani ya katani na tumbaku
Dawa ya 3; Mtumba
Contributed on:10/18/2004 1:44:06 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Dawa za wadudu na magonjwa ya ngozi
Wadudu wasumbufu wa mifugo ni pamoja na:
- Kupe
- Chawa
- Viroboto
- Utitiri
Wadudu wote hawa hunyonya damu ya irdfugo. Pia kupe hunyonya'na kueneza magonjwa kama Kukojoa damu, Ndigana na Moyo kujaa maji.

Dawa ya Mzilanzi (Gogo)
Contributed on:10/18/2004 1:27:35 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Homa kali kwa mbuzi
Dawa, Mrumbapori (Swahili)
Mvumo (Sambaa)
Mlumba (Gogo,Nyamwezi)
Mrumbapori unaota sehemu nyingi hapa nchini. Ni mti mkubwa wenye gamba la kijivu. Una mizizi mingi inayoota kuanzia kwenye shina juu ya ardhi na kuingia ardhini (angaliamchoro).
Contributed on:10/18/2004 1:11:26 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Kinga ya simba na fisi kwa mifugo zizini
Dawa ya 1, Mnyughe (Nyaturu)
Liyuge (hehe)
Gole (Nguu)
Contributed on:10/18/2004 12:46:40 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

Cancer - Engeya Nayengi
Wounds on the skin caused by sun sensitivity. Another possible cause of the condition could be streptothricosis.

Clinical signs: Irritation, Presence of black spot on the affected part, Itching, Swelling, and Wounds that don’t heal.
Contributed on:10/17/2004 11:55:41 PM By: Ethnovertenary Knowledge Project 2001
More Information

Kubakia kondo la nyuma la uzazi kwa ng'ombe, mbuzi au kondoo
Dawa ya 1, Mtekangunyi(Kinyaturu)-Huota kwa kutambaa kwenye miti mingine. Huota sehemu za mbughani na sehemu kame.

Dawa ya 2,Itakalangonyo (Gogo)-Jamii moja na Mtekang'unyi ila ni mwembamba zaidi
Contributed on:10/15/2004 10:22:42 AM By: INADES FORMATION TANZANIA
More Information

1 2 3 4

First Page|Previous Page| Next Page | Last Page

Indigenous Knowledge topics
Agriculture and Livestock
Culture
Development
Education
Environment
Health, Food and Nutrition
ICT
Indigenous Knowledge
About the IK Database
Partners
Contribute IK Resources


world bank and indigenous knowledge
 

 

 

 

 

Privacy Policy | Editorial Policy | About Us | Photo Gallery | Contact Us | Feedback
2002 - 2006 ©Tanzania Development Gateway, ALL Rights Reserved