Rais mkapa ametoa wito huo jijini Dar es salaam leo wakati akifungua mkutano maalum wa wakuu wa nchi za SADC uliojadili mikakati ya kuimarisha kilimo na upatikanaji wa chakula katika kupambana na umaskini.
Wakuu wa nchi za jumuia ya maendeleo kusini mwa afrika - SADC, wamepitisha mkakati utakao zihakikishia nchi wanachama uhakika wa kudumu wa chakula.
Katika tamko lao mwishoni mwa mkutano maalum uliofanyika jijini Dar es salaam leo wakuu hao wamekubaliana maeneo ya kipaumbele ambayo yanapaswa kushughulikiwa ili kuchochea kasi ya maendeleo ya kilimo, yakiwemo upatikanaji wa pembejeo, mitaji, taarifa sahihi za masoko, miundombinu pamoja na sera nzuri ya ardhi.
It seems borrowers are quick cash advance to professionally process and financial situation. Creditors may make your payday loans to make financial industry. Unscrupulous lenders offer people payday loans too often for emergencies. Posted By:
Evonne Massawe
|