Matatizo, changamoto na sababu zilizosukuma wasomi kuanzisha chombo cha kutafiti umaskini miaka 10 iliyopita bado yapo. REPOA, ni chombo cha utafiti kilichoundwa mwaka mmoja baada ya warsha iliyofanyika Dar es Salaam, Januari 11, 1994.
Full Story
Posted By:
ALOYCE MENDA
|